STAGE |
TIME |
TEACHER'S ACTIVITIES |
STUDENT'S ACTIVITIES |
ASSESSMENT |
INTRODUCTION |
5 |
Tumia maswali na majibu, mifano na majadiliano kuwaongoza wanafunzi kubainisha ruwaza ya upatanishi wa kisarufi baina ya maneno katika sentensi |
Wanafunzi wajadili upatanishi wa kisarufi katika sentensi mbalimbali na kubainisha ruwaza yake. |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
PRESENTATION |
20 |
Waongoze wanafunzi wachore jedwali lenye sentensi zenye upatanishi wa kisarifu. |
Wanafunzi watunge sentensi na habari kwa kutumia upatanishi mwafaka. |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REFLECTION |
5 |
Ongeza Wanafunzi wafanye kazi mradi ya kukusanya sentensi ambazo zimekiuka upatanishi wa kisarifu katika maeneo yao na shuleni. Wazilete na kuzijadili darasani, kisha wazisahihishe. |
Wanafunzi wafanye kazi mradi ya kukusanya sentensi ambazo zimekiuka upatanishi wa kisarifu katika maeneo yao na shuleni. Wazilete na kuzijadili darasani, kisha wazisahihishe. |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REINFORCEMENT |
5 |
Ongeza Wanafunzi wafanye kazi mradi ya kukusanya sentensi ambazo zimekiuka upatanishi wa kisarifu katika maeneo yao na shuleni. Wazilete na kuzijadili darasani, kisha wazisahihishe. |
Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
CONCLUSION |
5 |
Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi |
Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu |